Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akivishwa skafu
na wanafunzi wa shule ya sekondari Madibira baada ya kuwasili shuleni hapo
alipokuwa kwenye ziara wilayani humo.
Wanafunzi wa shule ya sekondari Madibira wakimkaribisha kwa gwaride mkuu wa mkoa wa Mbeya.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akikagua mradi wa maji uliojengwa katika shule ya sekondari Madibira.
Mkuu wa mkoa akielezea namna alivyoridhishwa na ujenzi wa vyoo shuleni hapo.