Saturday, May 16, 2015

RC KANDORO ALIPOZURU SHULE YA SEKONDARI MADIBIRA WILAYANI MBARALI

 Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akivishwa skafu na wanafunzi wa shule ya sekondari Madibira baada ya kuwasili shuleni hapo alipokuwa kwenye ziara wilayani humo.

 Wanafunzi wa shule ya sekondari Madibira wakimkaribisha kwa gwaride mkuu wa mkoa wa Mbeya.

 Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akikagua mradi wa maji uliojengwa katika shule ya sekondari Madibira.



Mkuu wa mkoa akielezea namna alivyoridhishwa na ujenzi wa vyoo shuleni hapo.